pia ataelezea kwani nini ameamua kuimba gospel hip hop na sio mziki wa aina nyingine pia itakuwa na categories kama zifuatavyo 1.utaanza wimbo 2 video yake 3 itaunganisha filamu kabisa
preacher gazuko ameongeza kuwa kupitia project hii mapema mwakani ataanza ziara za nchi jirani kama malawi,kenya,zambia,uganda,burundi nk
zaidi ya yote amewaomba watumishi wa Mungu wampe suport kwa ajili ya mpango huo
No comments:
Post a Comment