17 September, 2012

HEAVEN SINGERZ WAJA NA KUKURU KAKARA

waimbaji wa muziki wa injili hapa nchini tanzania wanaokwenda kwa jina la heaven singers kutoka maeneo ya banana wameamua kufanya video za album yao inayokwenda kwa jina la kukuru kakara
                                           baadhi ya waimbaji wa heaven singers katika picha
                                              ya pamoja
                                           
  akizungumza na preasenter wa b united mmoja kati ya waimbaji wa kundi ilo anayefahamika kwa jina la frank magson amesema kuwa audio album ni nzuri na anaamini kuwa hata video itakuwa ni nzuri na yakuvutia kutokana na maandalizi ambayo wameyaafanya ameizungumzia pia aina ya muziki ambao wanaufanya kuwa wanaimba style ya kwaito na amewataka na kuwaomba wapenzi wa muziki wa injili wakae tayari kwa ujio wa album hiyo
                                           frank magson akiwa mazoezini
                                              
                                           

No comments:

Post a Comment