muimbaji anaye kwenda kwa jina la egony waye ameamua kuingia rasmi ktk muziki wa aina ya gospel hip hop na kujiunga na kundi linalokwenda kwa jina la ze god's chosen rapperz ambalo lina memberz kama preacher gazuko,sir mbezi jr,rungu la yesu,dialo antony,erick kapinga na eka injili
amesema kuwa ameamua kuingia ktk gospel hip hop kwasababu anaona kuwa nipo mahali palipo na wito wake kwa zaidi ya yote ameomba kampani ya wanagospel hip hop wengine na pia wapate kumtambua rasmi kuwa yeye ni mwanaharakati rasmi na ameamua kutoka moyoni pia hakusita kuwataja wanagospel hip hop ambao waliomshawishi naye kuingia kwenye gospel hip hop kuwa ni dp,rungu la yesu,bashando na wengine
egony wa ye akiwa na preacher gazuko
KUTOKA B.UNITED AFRICA
tunamtakia kila la kheri mtumishi wa Mungu egony na akaze mwendo AMEN
No comments:
Post a Comment