
Akihojiwa na Silas Mbise mtangzaji wa kipindi cha gospel celebration cha Wapo radio fm ya jijini i Dar es salaam pamoja na gospelkitaa, moja kwa moja kutoka nchini Marekani Julie Julius Mshama ambaye ni mmoja wa waimbaji wa kikundi hicho amesema hakika wanamshukuru Mungu kuwafanikisha kurekodi wimbo huo chini ya kampuni ya AG production ya nchini humo ambayo wameingia nayo mkataba , kwakuwa haikuwa kazi rahisi ukizingatia kwamba walikuwa kwenye mitihani.amesema waliamua kurekodi kwanza wimbo huo kwakuwa kampuni inayowarekodi inawarahisishia katika kuandika muongozo(script)namna video hiyo inavyotakiwa iwe kuliko wangewapa wimbo wa kiswahili ambao ungechukua muda zaidi kwa mtu kuwaelezea maana .amesema wamerekodi wimbo huo mwezi january wakati ambao mdogo wao wa mwisho aitwae
Jessica ambaye ni mwanafunzi wa kidato cha nne alikuwa likizo hivyo kwenda Marekani kuwasalimu dada zake ambao ni wanafunzi wa chuo kikuu cha Liberty Virginia, nakutumia wasaa huo kurekodi video hiyo ambayo imewachukua takribani wiki tatu kurekodi ikitanguliwa na mazoezi makali yaliyosimamiwa na kampuni hiyo,ikiwa ni pamoja na mtu aliyekuwa akiwafundisha style za uchezaji,wataalamu wa mambo ya mavazi pamoja na vipodozi kwa ujumla,kitendo ambacho amesema ni mara ya kwanza kukiona na kufahamu ni kwanini waimbaji na waigizaji wa nchini humo wanatumia miaka au mwaka kurekodi album kwa maana hata wenyewe isingekuwa haraka ya mdogo wao kurudi Tanzania ingewachukua muda zaidi kurekodi wimbo huo.

Alipoulizwa kuhusu lini watamaliza kurekodi album nzima, swali ambalo lilikuwa gumu kidogo kwa Julie ambapo alisema wazazi wao ndio wanajua lini watamalizia kurekodi album nzima kwa Julie ambapo alisema wazazi wao ndio wanajua lini watamalizia kurekodi album nzima kwakuwa mdogo wao anatarajia kufanya mtihani wa kumaliza kidato cha nne kwahiyo hatakuwa na likizo hadi amalize mitihani vinginevyo watasubiria muongozo kutoka kwa wazazi wao na
No comments:
Post a Comment