Askofu kiongozi wa makanisa ya pentecoste gospel mission (pgm church) askofu barnabas kimbe anayofuraha kuwakaribisha watu wote katika mkutano mkubwa wa injili utakao fanyika kivule jijini dar es salam tarehe 20/9/2012 hadi 30/9/2012
askofu mkuu wa pgm Barnabas Kimbe
amesema kuwa mkutano huu ni zaidi ya mji wa makimbilio kwa amesema walete wagongwa na wenye shida mbalimbali naye yesu mtenda miujiza atawaponya ameongeza kuwa wanenaji katika mkutano huo ni muinjilisti marget ambaye Mungu anamtumia kwa viwango vikubwa na mchungajl balaza wa huduma ya pgm hostel ila mnenaji mkuu ni apostle steve curtis kutoka nchini marekani ambaye mwaka wa jana ailkuja nchini tanzania na kufanya mkutano wa injlil katika viwanja vy msikate tamaa vilivyopo vingunguti shule
apostle steve curtis kutoka nchini marekani akiwa amemshika dada aliyefahamika kwa jina la rose ambaye aliteswa na shetani kwa miaka mingi na atimaye yesu mtenda miujiza akamponya na kumweka huru katika mkutano wa injili uliofanyika mwaka jana nchini tanzania maeneo ya vingunguti
watoto wakiwa wamekusanyika katika gospel crusade
wamama nao hawakubaki nyuma
WAIMBAJI WATAKAO IMBA KATIKA MKUTANO HUO NI
shika ya yesu band
preacher gazuko
fedrik a.ka mzee wa heshima na wengine kibao kama vile sir mbezi anointing choir,getseman choir n.k
WATU WOTE MNAKARIBISHWA..........................
I MUST BE HAPO
ReplyDeletesi ya kukosa
ReplyDelete