KIJANA ANAYEKUJA KWA KASI KATIKA ANGA LA MUZIKI WA GOSPEL HIP HOP HAPA NCHINI TANZANIA ANAYEFAHAMIKA KWA JINA LA HOP JOB AMESEMA KUWA YEYE HUWA ANATAMANI KUANZISHA KUNDI LAKE GOSPEL HIP HOP HAPA TANZANIA TUKIACHANA NA MAKUNDI YALIYOPO KAMA
ZE GOD CHOSEN RAPPERZ
BORNE KINGZ
GOSPEL GENERATION REVIVAL[GRG]
LUMINOUS MAXIMUOS
NAMENGINE MENGI YALIYOPO LAKINI YEYE NAYE AMEAMUA KUJA KIMAPINDUZI KWA KUUNDA KUNDI LAKE LITAKALOFAHAMIKA KAMA'BELIEVERS NEVER GO DOWN BANDHOP JOB AMESEMAPIA ANAMPANGO WA KUACHIA ALBAMU YAKE BAADA YA MWEZI WA KUMI MWAKA HUU
HOP JOB AKIPERFOM KATIKA MKUTANO WA INJILI
No comments:
Post a Comment