martin bashando kushoto kulia ni peter banzi
amesema kuwa sasa ameamua kurudi rasmi katika huduma ya gospel hip hop na sasa ameachia wimbo wake wa heshimu wazazi bashando amewahi kutamba na nyimbo kama vile naongozwa na roho,punga mikono ambayo amewashirikisha bishop nicodemus shaboka na tina malegoameongeza kuwa kwa sasa amepanga kuja kimapinduzi zaidi kwa hiyo wapenzi wa gospel hip hop wajiandae
hii hapa chini ni video ya bashando ya wimbo wa punga mikono
No comments:
Post a Comment