30 August, 2012

JOHANES KANANI AAHIDI KUACHIA ALBUM KABLA YA MWAKA 2013


bila shaka kwa wale wafuatiliaji wa muziki wa injili hapa nchini tanzania hususani gospel hip hop hili jina la johanes kanani si geni kutokana na wimbo wake wa hii kweli kufanya vizuri katika radistation mbali mbali.
johanes kanani jana amezungumza na B.UNITED AFRICA kwa ana mpango wa kuachia album yake ya kwanza ambayo itakayokuwa na nyimbo zaidi ya nane amesema kuwa ameamua kuchukua uamuzi huo wa kuachia albamu yake kwa ajili ya kufikisha ujumbe wa bwana kwa wakati sahihi ambao wakati wenyewe ndio sasa.
ameongeza kuwa ataanza na audio cd/cassete kisha itafuatiwa na video mpaka sasa kuna baadhi za nyimbo tayari zimesha kamilika kama "hii kweli" ,"ngome yangu" ambayo iko katika maadhi ya zouk n.k ambazo zinafanya vizuri katika media mbali mbali hapa nchini
pia amesema katika albamu hiyo amefanyia katia studio tofauti tofauti zikiwemo T$G records iliyopo mkoani mbeya na tanganyika records iliyopo jijini dar es salam kwa hiyo amewaomba watumishi wasikose kupata nakala zao alisi kutoka kwa johanes kanani

1 comment: