
Waimbaji mahiri wa injili watakwepo kuhakikisha mbingu zinashuka na Bwana anaonekana katika maisha ya kila mmoja..waimbajiwatakaokuwepo kama vile;
THE GLORIOUS CELEBRATION
watakuwepo mahali pale kwa ajili ya kumwinua Bwana Mungu anayeishi.waimbaji wengine watakaokuwepo ni
ZE GOD'Z CHOSEN RAPPERZ FAMILY
kutoka kushoto ni sir mbezi anayefuata douglas pius[dp] watatu preacher gazuko na wamwisho ni dialo anton kutoka Ze God'z chosen rapperz jumapili hii watakuwepo pale GLORY TEMPLE TABATA pia RUNGU LA YESU kiongozi wa Ze God's chosen rapperz atakuwepo
pia kwaya mbali mbali zitakuwepo kumsifu Bwana kama vile sayuni kutoka eagt vingungunguti kwa mchungaji martin muhokole
bethel kwaya kutoka kiwalani kwa mchungaji elias mwakalukwa watakuwepo mahali pale
waimbaji binafsi kama vile Lusekelo samwel,Joshua nawengine wengi watakuwepo kumsifu BWANA. mawasiliano zaidi piga simu namba 0712964193 USIKOSE BARAKA HIZI
No comments:
Post a Comment