12 October, 2012

TUKIO KAMILI KATIKA PICHA:MBAGALA ILIVYONUKA LEO, Mabomu kila kona sirahisi vurugu kwisha bila busara kutumika, Mkanisa matatu yavunjwa.

Askari wa jeshi la Polisi kikosi cha kutuliza ghasia wakiwadhibiti vijana waliokuwa wakileta vurugu eneo la mbagala kufuatia kijana mmoja anaesemekana anasoma kidato cha kwanza kukojolea mkojo Quraan na kusababisha hasira kwa waisilamu hassa vijana ambao walitapakaa mitaani na kuanza kuleta vuru.
 
  
Vijana waliosambaa mitaani na kuamsha vurugu kubwa kwenye eneo hilo la Mbagala Kizuiani.
   

  
 
Hapa baadhi ya waisilamu walioamua liwalo naliwe nakuamua kuwatunishia msuli polisi nakusema pigeni mpendavyo hatoki mtu.
 
  
 
 Barabara zilikua zikiharibiwa kwa moto ulikuwa ukiwashwa na waisilamu hao wenye hasira.
   

Maji ya kuwasha yalikuwepo ingawa hayakuweza kuzuia vurugu hi
   

Askari na watuhumiwa wakivuka pamoja kwenye mtaro wa maji 
 
 
 Watuhumiwa wavurugu hizo wakipandishwa kwenye gari la polisi.

Picha na Mtaa kwa Mtaa Blog
 
 Baadhi ya vizuizi vilivyowekwa na waislam eneo la Mbagala Kizuiani wakati wa maandamano yaliyofanyika jijini Dar es Salaam leo kupinga kitabu kitakatifu cha Koran kufanyiwa dhihaka na mtoto Emmanuel Josephat ambaye aliitem
 
  Polisi wakiwa katika kuhakikisha hali ya usalama inaimarishwa katika eneo la Mbagala leo
   

Baadhi ya magari yaliyoharibika katika maandamano ya waislam 
 
   

HAMISI SALUM BABA MZAZI WA KIJANA AMBAYE MSAAFU WAKE ULIFANYIWA DHIHAKA NA EMMANUEL JOSEPHAT NA KUZUA MAANDAMANO MAKUBWA YALIYOFANYWA NA WAAISLAMU JIJINI DAR LEO.Picha na Happy Mnale

No comments:

Post a Comment