Muimbaji wa nyimbo za injili ambaye anayefuata nyayo za kaka yake[jakson benty] anajulikana kwa jina la Dialo antony kwa sasa anayefanya vizuri na wimbo wake wa 'dunia iko ukingoni' ambayo ameimba kwa style ya rnb amezungumzia suala la watu kumfananisha na muimbaji wa gospel rap gazuko
dialo antony akiwa peke yake
amesema kuwa watu wengi wameshindwa kujua kwamba yeye na gazuko ni marafiki wa kawaida tu nakudhani kuwa ni mapacha kutokana na kufanana amesema yeye alikutana na gazuko mwaka 2010 mwishoni katika studio inayofahamika kwa jina la ndaga records ndipo alipokutana na gazuko na kuanza kufanya huduma pamoja
gazuko upande kushoto dialo upande kulia wakiwa katika picha ya pamoja
kutoka kushoto sir mbezi,dp,wiliam nyangi mwisho gazuko aliyesimama chini ni dialo
UPANDE WA GAZUKO
gazuko naye pia amekiri kutokuwepo kwa undugu kati yao kwa maana dialo kwa baba yake ni mtu wa mwanza na upande wa mama yake ni mtu wa arusha wakati huo gazuko kwa baba yake ni morogoro na kwa mama yake ni sumbawanga kwahiyo watu wasidhani wao kuwa ni mapacha bali udugu wao ni katika kristo tu
gazuko akiwa peke yake
ameongeza kuwa yeye kwa mara ya kwanza kusikia habari ya dialo ilikuwa mwaka 2010 mwezi wa nane baada ya kutoka nchini burundi aliporudi kwa mara ya kwanza akaambiwa kwamba kuna kijana amefanana naye ameenda kuimba kanisani kwao ila hakufuatilia kwa maana alikuwa na safari ya nchini zambia kwa hiyo alivyorudi kutoka zambia ndipo alipokutana na dialo mwaka 2010 mwisho na ndipo wakaungana na kufanya huduma pamoja huku watu wengi wakidhani ni mapacha lakini si kweli kuwa ni mapacha
No comments:
Post a Comment