Nyumbani kwa babu mzee John Malecela alialikwa kulikuwa na sherehe ya kifamilia. uimbaji wake ulituvutia wengi saana tuliokuwepo mahari hapo na wengi wakasema ana kipaji cha kipekee na anaimba tofauti sana na waimbaji wengi tuliowazoea. anaweza kwenda nota za juu sana na hata za chiniiiiiii sana anajua vema kuichezea sauti yake. Mara nikamuona kwenye Glorious cerebration akionyesha kipaji chake, sasa mara hii ametokelezea peke yake usikose kumuona pindi wimbo huo utakapokuwa tayari next week.
nyimbo inaitwa NAPOKEA
muimbaji ni JESSICA HONORE
imefanywa na kampuni ya EXCLUSIVE MEDIA
director wa video ni GODIE
video inategemewa kutoka katikati ya wiki ijayo hivyo watanzania wajiandae kupata video bora na ya kipekee, kwani Exclusive Media imekusudia kuleta mabadiliko katika video za mziki wa njili kwa kufanya video zenye ubunifu na ubora wa hali ya juu.
![]() |
Crew wakiwa katika Madalizi a kushoot kwenye Lcation |
Director akitoa maelekezo
Stand by
Kundi zima lililohusika katika udaaji wa Video hiyo
baadhi ya sehemuza wimbo
hilo nalo ni pozi ndani ya video hiyo
mambo ya kuweka sawa mwanga
full busy kuhakikisha kinatoka kitu kizuri
hapo napo
nahili je nalo ni pozi
Hivyo ni adi tu ya vionjo imbo huo usikose kuuona. pia wasanii waimbaji wengine wanakaribishwakufanya video zenye ubora na ubunifu wa hali ya juu kwa gharama nafuu kupitia exclusive media. simu 0657 975747 au 0758105223
KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO 0717998434 BY PREACHER GAZUKO
No comments:
Post a Comment